Ticker

6/recent/ticker-posts

Diamond, Hamisa na Fayhma Wang’ara AfrikaMWANAMUZIKI wa Tanzania, Nasib Abdul maarufu kama Diamond Platnumz ameibuka Msanii Bora wa Mwaka Afrika katika Tuzo za Scream All Youth Awards 2021 zilizotolewanchini Nigeria, tuzo hizo hutolewa kwa vijana wanaofanya vizuri katika sekta tofauti Afrika.


Pia wanamitindo wa Tanzania, Hamisa Mobeto na mrembo Fahyma, wote wameshinda tuzo hizo katika Kipengele cha Brand Influencer of the Year (Hamisa Mobeto) na Social Media influencer (Fahyma)

Nafasi za Ajira Jiunge na Ajira Yako Telegram Group

 CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments