Ticker

6/recent/ticker-posts

Diamond Platnumz Amkumbuka Wema Sepetu Kisa Wimbo Mpya.. Afunguka Haya


Reposted from @diamondplatnumz Nikiitazama hii video, hususan kipande hiki nakumbuka mbali sana...enzi za Mahaba mazito na Madam....Enzi ambazo tulikuwa tunajifungia chumbani wiki nzima, nakwepa kurecord na ata show ikitokea naitaftia sababu ya kutokuwepo....kiukweli wimbo huu wakati nautoa, sikuuchukulia serious....niliutoa tu kama bonus kwakujua mashabiki zangu wamenimiss kunisikia nikiimba hivyo..Licha ya kupokelewa na Kupendwa sana ulivyotoka...for some reason kadri muda uendanvyo nimejikuta naupenda saana, na mbaya zaidi kila niusikiapo unanifanya nitamani tena kumpenda mtu, na kuwa tena wenye Mahusiano......japo ghafla akili timamu hunijiaga, na kunambia "Simba Jifocusie zako kwenye kazi mwaya "🚶‍♂️ .... #Naanzaje

Nafasi za Ajira Jiunge na Ajira Yako Telegram Group

 CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments