Ticker

6/recent/ticker-posts

Diva Loveness "Mimi Ni mwanamke Mrembo zaidi Kushinda Wote Bongo"Mtangazaji Mahili Hapa Tanzania Diva Amefunguka kuwa Hamna Mwanamke Hapa Tanzania Anayemzidi Yeye Kwa Muonekano Yani Kuanzia Shape na Sura Pia.

"Mimi Sijaona Kabisa Mwanamke Ambaye Anavutia Zaidi Kunizidi Mimi Hapa Tanzania"-Ameongea Diva.

TOA MAONI YAKO UNAONAJE HAPO?????

BIG YES AU BIG NO?????

Nafasi za Ajira Jiunge na Ajira Yako Telegram Group

 CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments