.

9/01/2021

DR. MWIGULU: TUNAANGALIA NAMNA YA KUTOZA ‘DIGITAL SERVICES TAX’Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema inaangaliwa namna ya kutoza Kodi kwa Huduma Zinazotolewa Mitandaoni

Amesema kwasasa Huduma na Biashara nyingi zinaamia mtandaoni hivyo kuna haja ya kukusanya kodi kutoka kwenye biashara hizo ambazo kwasasa hazitozwi Kodi

Amesema inaangaliwa kutoka kwa nchi nyingine ambazo zimefanikiwa kwa kutoza kodi za aina hiyo


HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

New Video - Wana Wanywe Pombe

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger