.

9/12/2021

Dr Stergomena Tax Ateuliwa Kuwa Waziri wa UlinziRais Samia Suluhu Hassan amemteua Dkt. Stergomena Tax kuwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa

Anachukua nafasi ya Elias John Kwandikwa aliyefariki dunia mwezi Agosti 2021
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

New Video - Wana Wanywe Pombe

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger