.

9/04/2021

Drake Adedicate Album yake kwa Mtanzania Aliyefariki kwa Ajali ya Gari
Taarifa za kifo cha Nadia Ntuli (upande wa kushoto) mwenye uraia wa uingereza na asili ya Tanzania zimekuwa ni kubwa sana kwenye mitandao ya kijamii na blogs mbalimbali hii leo baada ya msanii Drake kuidedicate albamu yake mpya ya Certified Lover Boy (CLB) kwa mtu huyo pamoja na Mercedes Morror.

Nadia mwenye asili ya Tanzania aliyekuwa akiishi nchini uingereza alikuwa ni Instagram model na alikuwa na ushkaji na msanii Drake kwa miaka 7 hadi pale umauti ulipomkuta January mwaka huu,2021 huko Dubai kwa ajali ya gari.

Taarifa za kifo chake hazikuwa kubwa sana kama mastaa wengine mbali na marafiki zake akiwemo @mangekimambi_ walioomboleza mitandaoni

Kwa upande wa Mercedes Morror ,ye alikuwa model,Rapper, na mwandishi wa muziki ambaye aliuawa akiwa kwenye apartment yake.

R.i.p Nadia & Mercedes,Enjoy CLB wherever you are there.๐Ÿ’”๐Ÿ™๐Ÿ•Š
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger