Ticker

6/recent/ticker-posts

 .

Fahyma "Najuta Kuongea Maneno Mabaya Mtandaoni Kuhusu Rayvanny, ni Baba Mzuri Sana"
Akiongea na Bongofive Mama mtoto wa Rayvanny, Fahyma ameeleza kuwa anajutia sana kuhusu maneno aliyomuandikia Rayvanny mtandaoni kuwa yeye ndio anaiharibu familia yake.

Pia Fahyma ameeleza kuwa hayo yote yanakuja kwa sababu Rayvanny ni baba mzuri sana na anamtunza sana mtoto wake

 HABARI KAMA HIZI ZINAPATIKANA KWA APP YA UDAKU SPECIAL, DOWNLOAD HAPA KUZISOMA HATA KAMA HUNA BUNDLE

 Udaku Special Blog

Post a Comment

0 Comments