.

9/11/2021

Haji Manara Afunguka Kuhusu Kifo Cha Hans Pop "Nimechelewa Sana Kusikia Taarifa za Huu Msiba"


Ameandika Haji Manara:

"Nimechelewa sana kusikia taarifa za huu msiba wa mzee wetu Zacharia ,,,
Imenifadhaisha sana na imeniondolea Mood yangu,,,,

Kwangu alikuwa Mwanamichezo halisi shupavu na ameacha pengo kubwa Kwa mpira wetu na klabu yake Kwa ujumla,,,

Pumzika Kwa amani Captain"
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger