Ticker

6/recent/ticker-posts

 .

Haji Manara Awasifia Watangazaji wa Michezo Efm, Awatahadharisha na Watangazaji Mawakala wa Wachezaji


Reposted from @hajismanara Hv ndivyo Wachambuzi mahiri wanavyopaswa kujadiliana na kubishana kwa hoja na sio kuleta chuki na roho mbaya.

Kipindi kizuri mno na hongereni sana @efmtanzania na Tv yenu.. sasa msije kuharibu kipindi hiki kwa kuleta Wachambuzi mawakala hapo,,ambapo Wachezaji wao wakiachwa tu wanaleta chuki Kwa Club,,,mkileta Mafulugobe Studio tutawaambia. Coz hyo ni Redio na Tv yetu na inamilikiwa na Mjasiriamali mwerevu kijana wa kitanzania,,

Juzi Kocha Kaze katwambia eti fulugobe alimpigia cm anataka awe Wakala wake na amtafutie team Tanzania,,kumbe ndio maana aliponda ujio wake Yanga kama Kocha msaidizi wetu. Yaan Kaze Kwa Weledi wake asimamiwe na muuza sumu kweli?

Efm hao mawakala watakuja kuiharibu siku moja hyo redio ,,maana kutwa kuponda Yanga kisa maslahi binafsi,,,kuweni nao makini Coz mmewekeza pesa hapo,,,msiruhusu njaa za watu mtaani wazilete hapo.

Nyewala c zipo Redio?
Au hata Nyilimbuli 🚢🏻‍♂️🚢🏻‍♂️

 Download Our Udaku Special APP Kutoka Google Play Store Kwa Kutumia Link Hii Hapa>>>

Post a Comment

0 Comments