Ticker

6/recent/ticker-posts

 .

Haji Manara, Chama na Miquesone Utatu Mtakatifu Utakapo Endelea Kuitesa Simba Kwa Muda Mrefu


Simba ilikuwa Hatari na kubwa Msimu uliopita kwa sababu ya Watu watatu. Ndani ya Uwanja kulikuwa na Miquesone na Chama nje ya Uwanja kwa ajili ya Propaganda kulikuwa na Haji Manara.

Simba ilikamilika kwenye kila Sekta kuanzia Propaganda na Ndani ya uwanja ila yote ilikuwa kwa sababu ya Combination ya Chama na Miquesone.

Kila mtu anafahamu jinsi Miquesone na Chama walivyochangia asilimia kubwa Simba kufanya vizuri mpaka kufika Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika.

Kwa sasa Watu hao watatu Muhimu hawapo katika Club hiyo. Simba imeanza kucheza pira Makande. Simba hii ya sasa haiwezi kufika Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika msimu huu.

Hata Ubingwa wa Ligi ya ndani kutakuwa na Mchuano mkubwa sana Simba ikipambana na Azam kushika nafasi ya Pili.

#Romanticxaloyce #RAupdates #SimbaSC #YangaSc #Nguvumoja

 HABARI KAMA HIZI ZINAPATIKANA KWA APP YA UDAKU SPECIAL, DOWNLOAD HAPA KUZISOMA HATA KAMA HUNA BUNDLE

 Udaku Special Blog

Post a Comment

0 Comments