.

9/11/2021

Hakuna Ushahidi Unaoonesha Chanjo ya Corona Husababisha Matatizo ya Ugumba Kwa Wanaume na WanaumeKituo cha Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa nchini Marekani (CDC) kinapendekeza chanjo ya Virusi vya Corona kwa watu wote wanaohitaji kupata Watoto

Hakuna ushahidi unaoonesha chanjo husababisha matatizo ya Uzazi kwa Wanawake au Wanaume. Ni vema wenza wakapata dozi kamili ya chanjo husika ili kupata kinga thabiti

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

New Video - Wana Wanywe Pombe

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger