Ticker

6/recent/ticker-posts

 .

Hayu Hapa Mrembo Aliyeweza Kununua Gari Kwa Kutumia Boom la Chuo Kikuu


Nana Dollz ni Mrembo aliyetrend sana mitandaoni baada ya kusema kwamba alinunua gari kwa boom la chuo na pesa kidogo aliyopewa na bwana wake.

Kiufupi Nana Dolls ni graduate wa Udsm, alianza kujulikana baada ya kuwa video vixen katika video ya Quick rocka na inasemekana Amewahi date na Quick rocka. Baada ya kutokea kwenye video inasemekana quick rocka alimdhurumu pesa yake, hii ilikuwa story kubwa enzi hizo. Mbali na kuwa Video vixen kwenye video ya quick rocka, Nana dolls pia ameonekana kwenye moja ya videos za aslay.

Mbali na Ujasiriamali, Hivi sasa Nana dollz ni moja ya waigizaji katika tamthiliya ya PAZIA.

Nana Dollz alipokuwa chuo alipata Boom na mkopo asilimia mia moja, hii ilimfanya aweze Kununua gari baada ya kuongezewa pesa kidogo na baby wake.

OYOOO WANACHUO WENYE BOOM ASILIMIA MIA MOJA PALE UDSM, IFM, UDOM, TIA, MWALIMU NYERERE, SAUT, N.K, MNAFELI WAPI?, NUNUENI HATA BAISKELI.


 HABARI KAMA HIZI DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL KWA KUBONYEZA > HAPA

Post a Comment

0 Comments