Ticker

6/recent/ticker-posts

 .

Hotuba ya Rais Samia Yavunja Rekodi UN, Yawekwa Katika Hotuba 7 MuhimuHotuba ya Rais Samia Suluhu Hassan aliyoitoa Septemba 23 kwenye Mkutano wa 76 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa imetajwa miongoni mwa hotuba saba muhimu kwenye kikao hicho

Hotuba ya Rais Samia imechaguliwa na tovuti ya Marekani ‘Foreign Policy (FP)’ miongoni mwa hotuba muhimu zaidi kutolewa kwenye kikao hicho huku ikiwa ni ya pekee kutoka kwa Mkuu wa Nchi Mwanamke

Viongozi wengine ambao hotuba zao zimeelezea mambo muhimu ni pamoja na Rais wa #China, Rais wa Marekani, Rais wa #Brazil, Rais wa Lebanon, Rais wa Iran na Waziri Mkuu wa #India, Narendra Modi.


 HABARI KAMA HIZI ZINAPATIKANA KWA APP YA UDAKU SPECIAL, DOWNLOAD HAPA KUZISOMA HATA KAMA HUNA BUNDLE

 Udaku Special Blog

Post a Comment

0 Comments