.

9/15/2021

Humphrey Polepole 'Watu Wanalazimishwa Kuvaa Barakoa'


Humphrey Polepole amesema amepokea Malalamiko mengi Watu wakilalamika kuwa wanalazimishwa kuvaa Barakoa katika Usafiri wa Mabasi ya Mwendokasi.

Amesema kuna Mazingira ambayo yanawalazimisha watu kutovaa Barakoa je wanyimwe Haki ya Usafiri wa Mabasi hayo? Mfano Watu wenye Matatizo ya Pumu na Matatizo ya Moyo hawapaswi kuvaa Barakoa kuwalazimisha sio Haki.

Polepole ameitaka Serikali ya CCM kulitazama jambo hili kwa Jicho jema kabisa kwani kulazimisha Watu kuvaa Barakoa ni kuvunja Haki na Uhuru wao.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

1 comment:

  1. Hata kama ni udaku, jitahidi basi kujaza vizuri habari yako.Kasema wapi, mtandao gani? Alihojiwa na nani? Vitu kama hivyo

    ReplyDelete

New Video - Wana Wanywe Pombe

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger