Ticker

6/recent/ticker-posts

 .

Huyu Hapa Ndio Mwanamke Mrembo Kuliko Wote Duniani, Hana Kasoro Kwa Asilimia 94


Isabella Khair Hadid, au "Bellahadid" mwenye asiri ya upalestina na u Dutch, ndio mwanamke MREMBO zaidi dunian,

👉Kwa muujibu wa science muonekano wa Bellahadid,hauna kasoro Kwa asimilimia 94.35 ,wakiangalia vitu Kama viduatavyo

👉PUA
👉MACHO
👉 KOMWE
👉KIDEVU
👉 KICHWA

👉uchunguzi uliofanywa na "Golden Ratio of Beauty Phi,” ulisema yafuatayo nanuku..

" Bella Hadid is considered the most sexiest and beautiful woman with presentable facial features. Everything in here is perfect, from perfect jawline to attractive eyes and from lips to face shape."

👉 MREMBO huyo anaonekana Hana kasoro yoyote, Kwa muujibu wa science,

👉Tukiachana na hizo takwimu, Kwa upande wangu mbna naona Kama huyu MREMBO,akija bongo hatoboi Kwa uzuri💔🤣

👉 Imagine Tanga, lazima kuna warembo watakua wamemzidi,sema hawatambuliki na dunia😁...

👉Au hata apo Rwanda Kwa majiran zetu itakua razima tu kuna warembo watakua wamemzidi,semaa ndo ivo tu baahati na nyota..

👉Mpaka sasa ,Mwaka huu2021 bado MREMBO Bellahadid anaendelea kushikilia nafasi ya kwanza Kwa urembo dunian.

Ni nn MAONI YAKO ndugu msomaji??

 HABARI KAMA HIZI DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL KWA KUBONYEZA > HAPA

Post a Comment

0 Comments