Ticker

6/recent/ticker-posts

 .

Huyu Ndio Mwanamke Mwenye Mvuto zaidi Anaishi Duniani Kwa Sasa


Unaambiwa Mwimbaji na Mwigizaji raia Marekani mzaliwa wa Harlem, New York #TeyanaTaylor mwenye umri wa miaka 30 ndie aLietajwa kama Mwanamke mweusi wa kwanza kutajwa na Jarida la #Maxim kama Mwanamke mwenye mvuto zaidi anayeishi.


Maxim ni Jarida la kimataifa la Wanaume ambalo lilianzishwa nchini Uingereza mwaka 1995 na kuweka makao yake jijini New York Marekani toka mwaka 1997, na mpaka sasa ni Jarida ambalo lina Wasomaji wapatao milioni tisa kila mwezi


 HABARI KAMA HIZI ZINAPATIKANA KWA APP YA UDAKU SPECIAL, DOWNLOAD HAPA KUZISOMA HATA KAMA HUNA BUNDLE

 Udaku Special Blog

Post a Comment

0 Comments