.

9/07/2021

Inaelezwa Kuwa Kifo cha Muigizaji Michael K Williams Kimesababishwa na Kuji Overdose Madawa ya Kulevya
Usiku wa kuamkia leo imetokea taarifa mbaya sana kwa wapenzi wa filamu kutoka nchini Mrekani baada ya taarifa kusambaa zikidai kuwa mwigizaji Michael K williams amekutwa amefariki katika nyumba yake ya kupumzikia huko Brooklyn.Mastaa wengi wa Marekani waliipokea taarifa hii kw amshtuko kwa sababu Michael K Williams alikuwa ni mmoja ya waigizaji pendwa kabisa Hollywood na ilielezwa kuwa alichaguliwa kuja kuigiza maisha ya Rapa DMX.

Baada ya taarifa hizi za kukutwa amefariki katika nyumba hiyo kuna baadhi ya vitu vinavyotumia kuvutia madawa ya kulevya aina ya vya madawa ya kulevya aina ya HEROIN vimekutwa na ikielezwa kuwa aliji overdose, hii inatokea mara pili ndani ya mwaka huu kwani hata kifo cha DMX ilikuwa ameji overdose ingawa DMX alibahatika kukimbizwa hospitalini na ilichukua muda kidogo hadi kupoteza maisha.

Kwa Michael K William ambaye alikuwa na miaka 54 imekuwa tofauti kwani amekutwa amefariki na haijaelezwa kama alikuwa mwenyewe au laah.moja ya Tamthilia ambayo alifanya vizuri ni Omar Little ambayo ilianza kuonekana mwaka 2002.
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

New Video - Wana Wanywe Pombe

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger