Ticker

6/recent/ticker-posts

 .

Jaji Aahirisha Kesi ya Mbowe kwa Dakika 15


MASHAHIDI wa Jamhuri katika shauri dogo la kupinga maelezo ya onyo ya mshtakiwa wa pili, Adam Kasekwa yasitumike kama kielelezo katika kesi ya uhujumu uchumi, inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake, leo Ijumaa wameendelea kutoa ushahidi wao.

 

Baada ya ushahidi huo uliotolewa katika Mahakama Kuu, Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi, Dar es Salaam, Jaji anayesikiliza kesi hiyo, Jaji Mustapha Siyani imeahirisha usikilizwaji wa kesi hiyo kwa dakika 15, ili ajiandae kutoa uamuzi wa ombi la Jamhuri la kupinga upande wa utetezi kugawanyika.

 HABARI KAMA HIZI DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL KWA KUBONYEZA > HAPA

Post a Comment

0 Comments