.

9/01/2021

Je, Mbwana Samatta Ameshuka Kiwango?


Mbwana Samatta ametangazwa kujiunga na klabu ya Royal Antwerp ya Ubelgiji kwa mkopo akitokea Fenerbah├že S.K ya Uturuki. Safari yake hii imepokelewa kwa tafsiri tofauti.

@oscaroscarjr yeye anaamini kwamba Samatta anashuka lakini kushuka kwake anashuka akiwa amefanikiwa kwenye kile alichokipigania kwa upande mwingine @maestro_ibrahim anasema wakati akiwa Genk alipokea ofa nyingi za vilabu vingine pengine ingekuwa vyema angeanzia huko kabla ya kwenda kwenye ligi ya ushindani mkubwa.
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

New Video - Wana Wanywe Pombe

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger