Ticker

6/recent/ticker-posts


 

JE, Wajua Lady gaga alifanyiwa unyanyasaji wa kingono Akiwa Mtoto na Kupata Mtoto?

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE


Lady gaga ni muimbaji na mtunzi wa nyimbo za Pop, amezaliwa Tarehe 28 March 1986, Newyork. Jina lake halisi anaitwa Stefani Joanne Angelina Germanotta.

BAADHI YA VITU AMBAVYO HUNABUDI KUVIFAHAMU KUHUSU LADY GAGA.

Ameanza kuimba na kuigiza tangu akiwa na umri wa miaka minne. Ameanza kupiga piano akiwa na umri wa miaka minne na ameanza kuandika mashairi akiwa na miaka 13.

Wakati, Lady gaga akiigiza utotoni, nguo zake za kuigizia alikuwa hadizainiwi na mtu yoyote, alikuwa anadisign mwenyewe, ingawa kiumri alikuwa bado mdogo.

Lady gaga alifanyiwa unyanyasaji wa kingono, alibakwa na producer wa muziki akiwa bado binti wa miaka 19. Ubakaji huo ulimpelekea kupata mimba.

Lady gaga aliacha chuo(Newyork University) akiwa na miaka 19, alifanya hivi makusudi baada ya kuamini kwamba anaweza kujifunza Sanaa zaidi mtaani kuliko sanaa anayofundishwa chuo.


Lady gaga ni muandishi mzuri wa mashairi na ameandika nyimbo za mastaa mbalimbali kama vile Jlo, Fergie n.k.


Lady gaga, Tatoo zake zote zilikuwa upande wa kushoto, na alifanya hivi Mara baada ya baba yake kumwambia upande wa kulia wa mwili wake auache kama ulivyo. Alikaa muda mrefu bila kuchora upande wa kulia, lakini mwisho wa siku akamsaliti baba yake na akajichora upande wa kulia.


Lady gaga anaamini kwamba malkia wa Pop Ni Britney Spears.


Mwaka 2017, Lady gaga amewahi kugawa pizza za bure kwa mashabiki zake. Pizza hizo zilitoka katika hotel yake.


Lady gaga hajabahatika kupata watoto ila ni mama wa ubatizo wa watoto wawili wa Mwanamuziki elton John.


Lady gaga Anamiliki nguo baadhi za Marehemu Michael Jackson, Mfano, koti alilovaa Michael Jackson katika video ya thriller na glove moja. Mali hizi alinunua kwa bei ghari katika mnada wa vitu vya Michael Jackson.


Kupitia filamu ya "Star is born" (2018), Lady gaga kama moja ya waigizaji na muimbaji aliyefanya soundtrack ya filamu hiyo alipata tuzo ya Grammy, BAFTA, GOLDEN GLOBE na OSCAR. HII ILIMFANYA KUWA STAR PEKEE ULIMWENGUNI KUPATA TUZO HIZI KUBWA NDANI YA MWAKA MMOJA.

 Join AJIRA YAKO Group for Daily Job Updates CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments