Ticker

6/recent/ticker-posts

Jux "Kuwa na Amani, Hakuna Vita, Sikuchukii"


Baada ya @vanessamdee Kuthibitisha Rasmi Kuwa na Ujauzito Wa Star Wa Muziki @rotimi, Mashabiki Wengi Walimvaa Nyota kutokea Hapa Nchini 🇹🇿 @juma_jux Ambaye Ni Ex Wa #Vanessa Kwa Kumkejeli Kushindwa Kumpa Ujauzito Ingali Walikuwa Kwenye Mahusiano Kwa Muda Mrefu

Hatimaye Leo @juma_jux Ameachia Ngoma Mpya Yenye Ujumbe Ulioashiria Kuwa Ni Jibu Kwa #Vanessa Pamoja Na Mashabiki Wake

Kupitia Ngoma Hiyo Jux Ametoa Ujumbe Uliotafsiriwa Kumlenga Vanessa Akisema Kuwa Awe na Amani Hamchukii Bali Anamuombea Maisha Mema Ya Furaha

Je, Unadhani Ngoma Hii Dongo Kwa #Vanessa ?


Nafasi za Ajira Jiunge na Ajira Yako Telegram Group

 CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments