Ticker

6/recent/ticker-posts

Kimenuka..Diamond Platnumz Ashindwa Kuvunja Rekodi ya Harmonize Youtube


Msanii #DiamondPlatnumz kupitia Video yake #NAANZAJE ameshindwa kuvunja Rekodi ya Harmonize ya kupata Views 1M ndani ya masaa 10 harmonize aliweka Rekodi hiyo kupitia Video yake #Teacher.

Diamond amepata views 771k tu ndani ya masaa 10.

#Harmonize anaendelea kushikilia Rekodi ya kuwa Msanii wa kwanza 2021 video yake kutazamwa mara zaidi ya milioni 1 ndani ya Masaa 10, mpaka sasa wimbo huo una siku 6 na una watazamaji zaidi ya 3M.

Nafasi za Ajira Jiunge na Ajira Yako Telegram Group

 CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments