Ticker

6/recent/ticker-posts

 .

Kisa Mapenzi Atishia Kulipua Bomu Ofisi ya Boyfriend Wake..Akamatwa


Mwanamke Raia wa Marekani Kayla Blake (33) anashikiliwa na Polisi kwa kutishia kufanya ugaidi wa kulipua jengo la ofisi anayofanyia kazi Boyfriend wake.

Baada ya Polisi kufanya uchunguzi na kufuatilia mawasiliano walifanikiwa kumkamata Mwanamke huyo ambaye amekiri hakuwa na mpango wa kulipua chochote ni basi tu alitishia hivyo ili Wafanyakazi warudishwe nyumbani kwa dharura ili apate muda mwingi wa kuenjoy na Mpenzi wake nyumbani.

Mpango wa Mwanamke huyo ulifanikiwa kwani baada ya simu alizopiga mara mbili tofauti akisema atalipua kiwanda hicho, Wafanyakazi 400 akiwemo Mpenzi wake waliondolewa na kuruhusiwa kurudi nyumbani kwa muda ili kuepusha majanga.

 HABARI KAMA HIZI ZINAPATIKANA KWA APP YA UDAKU SPECIAL, DOWNLOAD HAPA KUZISOMA HATA KAMA HUNA BUNDLE

 Udaku Special Blog

Post a Comment

0 Comments