Ticker

6/recent/ticker-posts

 .

Kumekucha..Mange Kimambi Akutana Uso Kwa Uso na Rais SamiaUkiachia masuala ya Siasa, @mangekimambi_ pia ni mtu ambaye yupo kwenye tasnia ya burudani kama mdau wa hiki kiwanda hasa akiwa analeta changamoto kwa wasanii wetu.

Kwa muda mrefu amekuwa kwenye malumbano na serikali ya Tanzania hasa ile iliyokuwa chini ya Hayati Dr. JPM huku makamu wake akiwa Mama Samia Suluhu.

Video zinazotrend mitandao kwasasa ni dada huyo kuonana live na Serikali ya Tanzania, yani kuonana na rais wa nchi, Mama Samia Suluhu Hassan.

Ebu Imagine alivyoipa tumbo joto serikali ya Mama akiwa Makamu wa rais leo Mama anamwambia Mange “nimefurahi kukuona”😁😁


 HABARI KAMA HIZI DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL KWA KUBONYEZA > HAPA

Post a Comment

0 Comments