Ticker

6/recent/ticker-posts

 .

Kumekucha...Paula Kajala Nae Aende Chuo Nje ya Nchi..Amfuata Sonia
Mtoto wa staa maarufu wa Bongo Muvi, Kajala Masanja na Prodyuza maarufu Paul Matthyes "P.Funk" Paula ameondoka leo Septemba 30, kuelekea chuo, nchini Ukraine ambapo ameongozana na mama yake mzazi, ambaye anamsindikiza.

Kuondoka kwa Paula, kutawafunga midomo baadhi ya watu ambao waliokuwa wakisema mtoto huyo hawezi kusoma.

Habari/video @imeldamtema

 HABARI KAMA HIZI ZINAPATIKANA KWA APP YA UDAKU SPECIAL, DOWNLOAD HAPA KUZISOMA HATA KAMA HUNA BUNDLE

 Udaku Special Blog

Post a Comment

0 Comments