Ticker

6/recent/ticker-posts

 .

Kuna Dalili za Wazi Zinazo Onyesha Kwamba Huenda SIMBA DAY IKAKOSA Mvuto


Kuna dalili za wazi zinazo onyesha kwamba huenda SIMBA DAY IKAKOSA, mvuto na kupata muitikio wa watu WACHACHE Kuliko mwaka jana .

👉Kwanza, aliyekua muhamasishaji mkubwa wa mashabiki wa SImba ,@Hajismanara hayupo tena Simba, hivyo lazima tu kuna baadhi ya mashabiki atakua amehama nao kwenda yangaa😁.

👉Mhamasishaj mwingine@diamondplatnumz ambaye yeye pia alikua ana ushawishi mkubwa ,na alichangia pakubwa sanaa watu wenhmgi kuishabikia Simba, tayali tuliona boss wa timu ya Simba modewji alimu unfollow..hii nayo piaa huwendaa ikadhoohofishaa uwingi wa mashabiki , wa timu hiyo

👉Mpaka sasa Simba hawana msemaji mkuu, wa timu Yao.kwa timu kubwa Kama Simba ni aibu kukosa msemaji mkuu🤣

👉Simba haitokaa ,ipate msemaji mkuu Kama Kama alivyokua @hajismanara

👉Kuna dalili za wazi , zinaonyesha kwamba kinacho ibeba Simba kwa sasa ni pesa ,basii ..wasipo kua makini timu inaeza kuvurugika na kukosa MVUTO kabisaa.

👉Kila mtu anataka cheo cha kua msemaji mkuu wa SImba,hivyo mashabiki wanazidi kugawanyika🤣🤣 mfano @mwijaku01 anakitaka sanaa cheo..


Hivyo basi kuna uwezekano mkubwa Simba day IKAKOSA muitikio wa watu

 Downlaod App ya BLOG Hii Kutoka Google Play Kwa Kubonyeza HAPA>>>

Post a Comment

0 Comments