.

9/15/2021

Kutana na Mwanamke Aliyedanganya Kuwa ni Mwanaume Kwa Miaka 16 ili Aweze Kuchimba Madini Mererani

 


Pili Hussein, Mwanamama aliyedanganya Jinsia yake kwa miaka 16 na kujiita mwanaume "Mjomba Hussein" ili aweze Kupambana katika Uchumi,

Mjomba Hussein alishiriki Uchimbaji wa Madini ya Tanzanite Mirerani kwa miaka 16 akidanganya Jinsia yake kutokana na imani potofu iliyokuwepo kuwa mwanamke akiingia mgodini Madini yanajificha

Kwa sasa anamiliki mgodi wake huko Mirerani na wanawake wanashiriki shuguli zote za uchimbaji

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

New Video - Wana Wanywe Pombe

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger