.

9/10/2021

Kutana na Sunday Manara, Baba Yake Haji Manara Mtanzania wa Kwanza Kuwahi Kucheza Soka la Kulipwa Ulaya
Mtanzania wa kwanza kucheza soka ya kulipwa Ulaya, kiungo mshambuliaji, Sunday Manara akimtoka beki wa timu pinzani wakati akiichezea SC Heracles ya Uholanzi. Manara mwenye umri wa miaka 67 sasa, aliichezea klabu hiyo kuanzia Desemba 1977 hadi Julai 1978 alipohamia SV St. Veit ya Austria, New York Eagles ya Marekani Al-Nasr ya Dubai baada ya awali kuchezea Yanga na Pan Africans za Dar es Salaam.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger