Ticker

6/recent/ticker-posts

Kwa Mara ya Kwanza Roketi Kutoka Marekani yalipuka Dakika Chache Baada ya Kupaa Angani
Roketi ya Alpha ya Marekani yalipuka dakika chache baada ya kupaa angani .

Roketi hiyo iliyotengenezwa na kampuni ya kibinafsi ya masuala angani mjini California ilipaa angani kwa dakika 2 na sekunde 30 kabla ya kulipuka.

Baada ya kulipuka Moshi mkubwa ulionekana kwa mbali juu ya bahari.

Nafasi za Ajira Jiunge na Ajira Yako Telegram Group

 CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments