.

9/06/2021

Mahabusu zaidi ya 20 Wampiga Askari na Kutoroka Dar es Salaam


Mahabusu zaidi ya 20 waliokuwa wanashikiliwa katika Kituo cha Polisi cha Maturubai, Mbagala mkoani Dar es Salaam wametoroka baada ya kumpiga Askari na kuvunja mlango wa chumba cha Mahabusu. Polisi wamesema waliotoroka ni wenye makosa madogo, na wanaendelea kuwatafuta mahabusu hao.


HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

New Video - Wana Wanywe Pombe

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger