.

9/01/2021

Mahakama Yatupilia Mbali Pingamizi la MboweMahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Uhujumu Uchumi na Rushwa imetupilia mbali pingamizi la Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe na wenzake juu ya Mahakama hiyo kuwa na uwezo wa kusikiliza kesi ya Ugaidi, na usikilizwaji wa kesi unaendelea

Mawakili wa Upande wa Utetezi waliweka pingamizi kuwa Mahakama hiyo haina mamlaka ya kusikiliza kesi yao kwa mashtaka ya ugaidi

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

New Video - Wana Wanywe Pombe

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger