Ticker

6/recent/ticker-posts

Manara Awashukia Wabaya Wake "I don’t Care Wanaonisema Watauona Moto Wangu"Haji Manara Ameandika haya kupitia Instagram :

"Rafiki yangu mmoja aliniuliza jana jioni,,Bugati huzioni hz makala mfululizo zinazokushambulia na kukuchafua ?

Nikamjibu huwa sihangaiki na watu wanaoniandama mm binafsi,,kazi yangu na ukubwa wa jina langu ni lazma nipingwe na baadhi ya Watu,,na huwa sijibu makala zinazonihusu mm kama mm.

But nikamalizia kwa kumueleza kwamba,,waiguse @Yangasc ndio watauona moto wangu coz hao wanaoandika wote wananijua vema,,
Sina Comprimise na mtu anaegusa Taasisi lakini mm waache wapuyange waniongezee ukubwa wangu.

I don’t Care

Yes Naitwa Triple king El-Bugati.
Msemaji wa Championi wa muda wote wa nchi hii Dadadeki"

Nafasi za Ajira Jiunge na Ajira Yako Telegram Group

 CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments