.

9/10/2021

Mange Kimambi Amchana Wema Sepetu Kisa Kupendwa Kupigwa na Wanaume "Hujapata wa Kukupiga Vizuri Wewe"
Seriously though, wanawake Tanzania wanauwawa
na wengine wanapata vilema sababu ya kupigwa na wanaume. Alafu mwanamke maarufu badala ya kutumia platform yake kukemea domestic violence yeye anasema anapenda kupigwa.

Dah, inabidi sometimes tuwe tunaangalia maneno ya kuongea. Hata kama wewe unapenda si ukae kimya maana maneno kama haya yana harm other people too.

Alafu Wema hujapata mwanaume wa kukupiga wewe. Unawashwa vijibao viwili na hivyo vibraza meni ndo maana unasema unapenda. Watu wanapigwa mpaka wanapata vilema. Kuna siku utaelewa nilichokisema hapa.

Yani kati ya vitu vya kijinga Wema kawahi kusema hiki ndo namba 1.
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

New Video - Wana Wanywe Pombe

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger