.

9/08/2021

Mange Kimambi Atia Neno Ujauzito wa Vanessa Mdee "Mnakumbuka Wabongo Mlianza Kumcheka Vanessa"Ameandika haya kupitia page Instagram yake:

OMG! This is just so beautiful. Congrats You 2.
So nice to see star wa kike wa Tz akiolewa na sio kuoa.
Ndo yale mambo nilisema the other time, Mungu anakuwa anakutoa sehemu ili akuweke pazuri ila wanawake huwa tunakuwaga wabishi, tunafight kubaki na mtu ambae Mungu anajaribu kukuepusha nae ili akupe life nzuri. Imagine kama Vanessa angemng’ang’ania yule mlamba midomo kipindi alivyoibuka na yule demu wa kichina?
Mnakumbuka wabongo mlianza kumcheka Vanessa, mkaanza kumpa pressure? mimi nikamwandikia gazeti hapa la kumpa moyo nikamwambia aachane na walamba midomo yeye ni level ya juu sana atapata wa size yake. Haikuchua hata round.
Sasa huyu ndo kapata mwanaume/mume. Sometimes ni bora uwe single tu kuliko kwenda kuoa.
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

New Video - Wana Wanywe Pombe

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger