Maskini Kenya Wanakabiliwa na Baa la njaa, Angalia Picha Hapa
0Udaku SpecialSeptember 13, 2021
Serikali ya Kenya wiki iliyopita ilitangaza ukame kama janga la kitaifa, huku majimbo ya Kilifi, Kwale, Tana River na Lamu yakiwa miongoni mwa maeneo ambayo yanakabiliwa na uhaba mkubwa wa chakula kwa sababu ya ukosefu wa mvua.