Moja ya Habari inayotrend kwenye Social networks kwasasa ni ajali aliyopata msanii wa Rap tokea nchini Guinea, @grand_p_ambassadeur ya kuvunjwa kiuno alipokuwa akicheza na mpenzi wake ambaye ni Socialite tokea Ivory Coast, @eudoxieyao__ Wawili hawa waliachana mwezi wa saba mwaka huu kabla ya kurudiana tena hivi karibuni, na inadaiwa sababu za ajali ni maudhui waliyokuwa wakitengeneza kwaajili ya kupakia kwenye mtandao wa Tik Tok. Kwa taarifa za watu wa karibu na Grand P wanadai jamaa bado yupo Hospitali akiendelea na matibabu na hali yake ikiendelea kuimarika.. Hii inaitwa Mzigo umezidi uwezo wa chombo😁. Follow @sajomedia kwa taarifa za burudani. Twenzetu YouTube,link kwa bio🙏.
Moja ya Habari inayotrend kwenye Social networks kwasasa ni ajali aliyopata msanii wa Rap tokea nchini Guinea, @grand_p_ambassadeur ya kuvunjwa kiuno alipokuwa akicheza na mpenzi wake ambaye ni Socialite tokea Ivory Coast, @eudoxieyao__
Wawili hawa waliachana mwezi wa saba mwaka huu kabla ya kurudiana tena hivi karibuni, na inadaiwa sababu za ajali ni maudhui waliyokuwa wakitengeneza kwaajili ya kupakia kwenye mtandao wa Tik Tok.
Kwa taarifa za watu wa karibu na Grand P wanadai jamaa bado yupo Hospitali akiendelea na matibabu na hali yake ikiendelea kuimarika.. Hii inaitwa Mzigo umezidi uwezo wa chombo😁.