google-site-verification: googleb0bc30c3e5fdb812.html Maswali Tata Kuhusu Yanga Kumpa Kocha Wao Mechi Mbili la Sivyo Anatimuliwa | UDAKU SPECIAL

Maswali Tata Kuhusu Yanga Kumpa Kocha Wao Mechi Mbili la Sivyo Anatimuliwa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA




Yanga imempa mechi mbili Kocha Wake mkuu @nasreddine__nabi Ili kujua Hatima yake ndani ya klabu hiyo mechi izo ni Mechi ya Rivers Huko Nigeria Caf Cl na Simba Mechi ya Ngao Ya jamii Swali Kwenu:

1.Hivi Kwa Jinsi ulivo iona timu ya Yanga kwenye michezo yake miwili Iliyopita ya Zesco na Rivers Tatizo Liko wapi Kwa kocha ,Maandalizi au Wachezaji?

2.Maandalizi Walio yafanya Yanga Msimu huu na Aina ya wachezaji walio sajili walikuwa ni sahihi na hitaji la mwalim ili kuziba mapengo ya Nafasi zilizo achwa na Wachezaji walio ondoka Kutokana na Alichokiona msimu iliopita?

3.Yanga waliacha Wachezaji Wake Wengi muhmu wakiwemo makipa Wote wawili Na kusajili zaidi ya wachezaji 10 wapya Je unadhani muda Uliokuepo ulitosha Kwa kocha kujenga timu na kupata Muunganiko bora wakwenda kucheza CAF CL na Kutwaa Ubingwa wa Ligi baada ya Kipindi kirefu?

4.Unadhani yanga kama Wakimfukuza Kocha Wao Mkuu Ndio itakuwa Sululisho Kwako na kupata matokeo Mazuri?

5.Hivi Unadhani Yanga inakwama Wapi Ukiangalia Wamefanya Usajili mzuri kwa mujibu wao wana kocha Wa Viwango, Waalimu wazuri Wa Mazoezi na Viongozi Wazuri Shida iko wapi Tukiachana na Kocha?

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad