Ticker

6/recent/ticker-posts

 .

Maua Sama Ataweza Kupambana na Speed ya 5G ya Nandy na Zuchu?


Baada ya maua sama kusimama kidogo kwenye Muziki, nandy na zuchu wameibeba mabegani bongo fleva kwa upande wa kina dada, na ukitaja kwasasa wasanii wakubwa wakike Tanzania lazima utamtaja nandy na zuchu.

Siku sio nyingi maua sama ametangaza kuwa anarudi kwenye game mara baada ya kukaa nje ya game kwa muda kadhaa, je unadhani ataiweza Speed ya 5g ya nandy na zuchu? Kipaji na uwezo anao, let's Wait.

 HABARI KAMA HIZI DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL KWA KUBONYEZA > HAPA

Post a Comment

0 Comments