Ticker

6/recent/ticker-posts

 .

Mbowe na wenzake walivyowekwa mahabusu kupisha utaratibu mpya uliotangazwaBaada ya utaratibu mpya kutangazwa mahakamani imetokea sintofahamu iliyopelekea Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe na wenzake watatu wametolewa katika chumba cha Mahakama na kupelekwa katika mahabusu iliyopo Mahakama hapa.

Baada ya wanachama wa CHADEMA waliofika Mahakamani kuzuiliwa kuingia ndani imebidi utaratibu mpya utangazwe Mahakamani kwa lengo la kupunguza idadi ya wanaoingia ndani ya Mahakama kufuatilia kesi hiyo mpaka sasa Mawakili walioruhusiwa ni 20, Waandishi wa Habari 10, Watu Maalum 3, Viongozi 5 na Ndugu 5.

 HABARI KAMA HIZI DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL KWA KUBONYEZA > HAPA

Post a Comment

0 Comments