Ticker

6/recent/ticker-posts

 .

Mchambuzi Oscar "Mugalu Anaichelewesha Simba"
"Chris Mugalu ni kama anaichelewesha Simba SC ni aina ya mchezaji anaehitaji nafasi kama tano kupata goli moja.

Anaweza akawa na sifa nyingine zote ila shida yake ndio hiyo, Simba inachelewa kwenye mechi nyingi sana kwa kumtegemea Mugalu".- @oscaroscarjr

Aliyasema hayo akijibu swali la @fatmalikwata aliyetaka kujua kama ni wakati sasa wa kuendelea kumuamini Kagere kwa kuwa Mugalu anaoesha Ku-Struggle .

Unakubaliana nae?

 HABARI KAMA HIZI ZINAPATIKANA KWA APP YA UDAKU SPECIAL, DOWNLOAD HAPA KUZISOMA HATA KAMA HUNA BUNDLE

 Udaku Special Blog

Post a Comment

0 Comments