.

9/11/2021

Mimi ni Shabiki wa Yanga ila Natamani Haji Manara Angekuwa Anachuja Maneno Hasa Kuhusu Simba..
Ila binafsi natamani @HajiManara angekuwa anachuja mambo ya kuongea kwenye interview haswaa kuhusu @SimbaSCTanzania Mana kila anapozungumza anazidi kumpa credit @bvrbvra kwamba alikuwa Genius kwenye kumkataa.

Mpaka Sasa interview ambazo amefanya na Mambo ambayo amesema kuhusu @simbasctanzania kila mtu ambaye alikuwa anaona kwamba Manara alionewa Imani hiyo inaanza kupotea Mana Iko wazi kama kweli ulifanya kazi sehemu ambayo huna mapenzi nayo na Wala huipendi na hujawahi kuipenda huwezi kuona hasara hata siku moja kuharibu sehemu hiyo kwa maslahi yako.

Mengine hata Kama ni jazba Ila Kuna namna @hajismanara anatakiwa kuji control sababu naamini Kuna watu wengi waliamini kaonewa Ila kwa style hii kila mtu atarudi kuona kwamba ilikuwa sahihi kwa mambo yote ambayo alifanyiwa.

By Abby the best
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

New Video - Wana Wanywe Pombe

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger