Ticker

6/recent/ticker-posts

 .

Msajili wa vyama vya siasa akutana na jeshi la polisi

Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Smon Sirro akizungumza na baadhi ya Maafisa Wakuu wa Makao Makuu ya Polisi Dodoma (Hawapo pichani) wakati wa kikao na Msajili wa Vyama vya siasa nchini Jaji Francis Mutungi (wa pili kulia) ambapo mambo kadhaa yalijadiliwa kuhusiana na changamoto za kisiasa.Picha na Jeshi la Polisi.Msajili wa Vyama vya Siasa nchini Jaji Francis Mutungi (aliyesimama) akizungumza na Maafisa Wakuu Waandamizi wa Polisi Makao Makuu Dodoma (hawapo pichani) wakati wa kikao cha kujadili mambo kadha wa kadha kuhusiana na changamoto za kisiasa nchini, Kushoto ni Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro. Picha na Jeshi la Polisi.

 Downlaod App ya BLOG Hii Kutoka Google Play Kwa Kubonyeza HAPA>>>

Post a Comment

0 Comments