Ticker

6/recent/ticker-posts

 .

Msanii wa Bongo Fleva, Rosa Ree Amevishwa Pete ya Uchumba na Mpenzi wake, King PetrousseMsanii wa Bongo Fleva, Rosa Ree amevishwa Pete ya uchumba na mpenzi wake, King Petrousse ambaye alimtambulisha hivi karibuni.

"Wanaona Gere 😃😃" Hatimaye Rapa Rosaree 👑 Avishwa Pete Ya Uchumba ❤ na Mpenzi King Petrousse


RosaRee Ametuthibitishia Hilo Katika Ukurasa Wake Wa Instagram Aki-Share Video Iliyomuonesha Akivishwa Pete Hiyo

Congratulations Rosaree & King Petrousse ❤❤


 HABARI KAMA HIZI DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL KWA KUBONYEZA > HAPA

Post a Comment

0 Comments