Ticker

6/recent/ticker-posts

 .

Muuaji wa George Floyd Sasa Kukata Rufaa Baada ya Kupewa Kifungo Cha Miaka 22
Derek Chauvin aliyehukumiwa kifungo cha miaka 22.5 amedai Jaji katika Kesi hiyo alitumia vibaya nafasi yake mara kadhaa.

Mauaji ya Floyd yalisababisha maandamano makubwa kote Marekani.

 HABARI KAMA HIZI DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL KWA KUBONYEZA > HAPA

Post a Comment

0 Comments