AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Bondia wa Tanzania Hassan Mwakinyo ametetea ubingwa wa Super Welterweight baada ya kumpiga Bondia Mnamibia Julius Indogo katika Raundi ya nne tu ya mchezo kwa TKO kwenye pambano lilofanyika usiku wa kuamkia leo katika ukumbi wa Ubungo Plaza.
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK