google-site-verification: googleb0bc30c3e5fdb812.html Mwanamuziki Jux Ampongeza Vanessa Mdee “Tushafunika Kurasa" | UDAKU SPECIAL

Mwanamuziki Jux Ampongeza Vanessa Mdee “Tushafunika Kurasa"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA





Baada ya Vanessa Mdee na mpenzi wake Rotimi kuweka wazi kuwa wanatarajia kupata mtoto siku za hivi karibuni, mpenzi wake wa zamani Jux awapongeza.
Kupitia wimbo wake mpya ‘Sina Neno’ King Of Hearts amemtakia kheri na kumuombea maisha mema na yenye furaha baada ya kuiona familia ikikuwa.

Moja ya line kutoka kwenye wimbo huo inasema “Tushafunika kurasa mambo ya zamani yalishapita, maisha mengine sasa kuwa na amani hakuna vita, sikuchukii nakuombea maisha mema na ya furaha, Mungu aonyeshe njia”

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad