.

9/08/2021

Mwanamuziki P Diddy Amefumwa Akichapana Mabusu Hadharani Na Mrembo Huyu


@diddy ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ฒ Aendelea Kudhihirisha Kwanini Anajiita "LOVE", Kwani Amefumwa Akichapana Mabusu Hadharani Na Mrembo #joiechavis Katika Fukwe Za Capri, Italia ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡นHuwenda #Diddy Na Mrembo Huyu Wakawa Rasmi Penzini Baada Ya Tovuti Ya #TheShadeRoom Kuripoti Taarifa Za Wawili Hawa Wakila Bata la Kimahaba ❤Hii Si Mara Ya Kwanza Kwa Rapa Huyu, Pia Aliwahi Kufumaniwa na Mrembo Mwanamitindo Wa Australia #TinaLouise Katika Fukwe za Malibu, California

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger