Mwijaku: Wanasimba tupo mikono salama ya Barbara
MSANII wa maigizo nchini na shabiki wa Klabu ya Simba, Burton Mwambe maarufu kama Mwijaku amesema klabu hiyo iko kwenye mikono sahihi chini ya uongozi wa Ofisa Mtendaji Mkuu wake, Barbara Gonzalez.

Mwijaku ameyasema hayo leo Jumatano, Septemba 15, wakati wa maandalizi ya shamra shamra ya tamasha la   Simba Day ambalo kilele chake ni Jumapili Septemba 19 katika Uwanja wa Taifa Dar es Salaam.

Mwijaku amesema kuwa wako katika usimamizi madhubuti wa C.E.O Barbara na kwamba hakuna tatizo ndani ya klabu yao.

“Tuko katika usimamizi wa Barbara, mwanamke shupavu aliyesimama vema wakati wa shida na raha ndani ya Simba, tutaendelea kusimama naye kwani amekuwa ni kiongozi jasiri anayejikita zaidi kwenye mipango ya klabu.đŸ’¥NAFASI ZA AJIRA ZILIZOTANGAZWA LEO SERIKALINI

đŸ’¥NAFASI ZA AJIRA ZILIZOTANGAZWA LEO SEKTA BINAFSI

đŸ’¥NAFASI ZA INTERSHIP MAKAMPUNI MBALI MBALI

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad