Ticker

6/recent/ticker-posts

 .

Nás Escobar Afunguka "Nilipata Corona Ilinitesa sana, Dunia Tunapita Wakati Mbaya Sana"


Staa wa muziki wa HipHop, Nas kaongea kuhusu kuugua Corona, " "Nilipata COVID mwishoni mwa Oktoba mwaka jana, Hii ni mara ya kwanza naongelea jambo hili, nilipitia wakatu mgumu, Corono iliniathiri Kiakili na kimwili".

Nas aliendelea kuongea jinsi dunia ilivyobadilika nakusema "⁠Ulimwengu wa leo tu, vita kwa kutumia kemikali, siasa za hovyo, ubaguzi wa rangi, uhaba wa chakula, vitendo vibaya vya polisi, watu weusi wanauwana wenyewe kwa wenyewe, Roho ya mwanadamu inajaribiwa, Nadhani Mungu ana mpango na sisi, tuko katika wakati mbaya".

 Downlaod App ya BLOG Hii Kutoka Google Play Kwa Kubonyeza HAPA>>>

Post a Comment

0 Comments