.

9/07/2021

Ni Simba Vs TP Mazembe kwa Mkapa Simba Day 2021
Mabingwa wa Nchi, Simba SC imetangaza kucheza na miamba ya soka barani Afrika klabu ya TP Mazembe kutoka DR Congo kwenye siku ya Simba Day iliyopangwa kufanyika Septemba 19, 2021.Simba itawakabili Mazembe kwenye mechi hiyo ya kirafiki ambayo pia itatumika kutangaza wachezaji wao wapya waliyosajiliwa msimu huu pamoja na burudani mbalimbali.

Itakuwa mara ya pili kwa Mnyama kukutana na TP Mazembe kwa mwaka huu, kwani wawili hao waliwahi kucheza Simba Super Cup na kutoka sare ya bila kufungana.


HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger